WAZIRI MKUU ATAKA NGUVU ZAIDI UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewçataka wadau wote wa uwezeshaji wananchi kiuchumi waongeze nguvu katika kutoa huduma za uwezeshaji hasa maeneo ya pembezoni ya miji na vijijini ili kufikia malengo ya nchi katika kukuza uchumi na kupunguza umaskini. Ametoa wito hio leo (Jumatatu, Septemba 19, 2022) wakati akifungua kongamano la sita la Taifa la Uwezeshaji Wananchi